mahaba

  1. JamiiForums Tanzania Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  2. JamiiForums Tanzania Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

    Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya mara tatu tangu nihamie Dodoma ni toka kwa akina mama/wanawake wenye ndoa zao lakini wamehamishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…