Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka nyara hadi Gaza. Hamas lazima waachilie mwili wa Joshua sasa. Familia yake inataka tu kumpa mazishi...