mafuta ya alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10 Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000 Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
  2. JamiiForums Tanzania Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti

    Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta ya alizeti Sasa yanashuka bei

    Bei ya dumu la alizeti ilifikia 97k baadae ikaja kuwa 85k ikafikia 80k week iliyopita. Leo limeshuka mpk 74k na Bado litaendelea kushuka maana ndo msimu inaweza kufikia Bei ya zamani ya 56k. Unaonaje ikifikia 56k ukawekeza hata madumu 200 ukalipia 1120000 baadae Mwezi wa 10,11,12 Bei Ina panda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…