mafukara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

    Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso. Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo wamegundua kuwa mvua ni geographical issue sasa wataleta stori za ngono ndio sababu ya vijana kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kigwangalla aambiwe amefika alipofika kwa mbeleko zaidi, aache kudharau vijana mafukara.

    Huyu mwanasiasa huwa anajiweka hustler mpambanaji sana wakati kila mtu anajua amefika hapo alipo kwa mserereko na kubebwa, mzazi wake alikuwa mtu wa chama, kuupata ubunge mara ya kwanza yeye mwenyewe alishindwa kura za maoni akabebwa na baadaye jimbo likagawanywa ili aendelee kubaki mbunge...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli amewafanya Watanzania wawe mafukara zaidi

    Hi! Sekta ya ajira Serikali yake ilishindwa kuajiri angalau kwa wastani wa kupunguza jobless kwa kila familia na ukoo. Sasa hakuna Rais ataweza kufix suala la unemployment Tanzania. Mpaka sasa wapo madaktari wanajitolea na kulipwa kidogo ili tu siku ziende. Hali hii haijawahi kutokea tangu...
  5. JamiiForums Tanzania Mafukara na dhana potofu ya Freemason na Wapigaji

    Wakuu asalaam, Ni muda mrefu nimetafakari uwezo kufikiri na upotoshaji wa wanasiasa kwa jamii ya Watanzania hasa masikini. Kwanza kuna dhana ya masikini kuwachukia waliofanikiwa. Jambo hili ni hatari kwa ustawi wa jamii na linafanyika hadharani. Mtu fukara akipambana na kufanikiwa ataitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…