Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...