Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).
Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation...
Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha
Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya...
Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine.
Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia.
Sekta binafsi...
Habari wakuu,
Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga.
Kuna ndugu yangu mmoja mme wake amefanya kazi kati ya taasisi hizi: TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA?
Amejaribu kuniuliza hawa watu hulipwa mafao kiasi gani na hazina baada ya kustaafu.
Kama kuna mtu anataarifa naomba nijuze.
Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Heshima kwenu wakuu,
Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini takribani miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya kumi). Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.