maendeleo ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Watumishi wengi wa Halmashauri ni kikwazo kwa maendeleo ya Vijana

    Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya ametoa hoja kuhusu Watumishi wa Halmashauri, alitoa maoni hayo Juni 3, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Bongo FM. Mahojiano yao kwa maneno yakuwa Mwandishi wa Bongo FM: Sawa sawa. Pengine kwenye eneo ambalo pengine ukilitazama unaona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nanauka: Serikali inatazamia kuanzisha benki ya Vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana yaomba Tsh. Bilioni 35.9 kuimarisha Maendeleo ya Vijana 2026/27

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, itawasilisha...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenifa Omolo na Dkt. Mapana wateuliwa kuwa makatibu Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana

    Dodoma, 20 Novemba 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili wapya katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana. Uteuzi huo umetangazwa rasmi kupitia taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, na...
Back
Top Bottom