Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko mdogo wa fedha.
Kwa mujibu wa mfanyabiashara aliyetoa malalamiko hayo mbele ya Msemaji Mkuu wa...
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Machinga Complex jijini Dodoma, Marico Magale, amesema wamachinga wa soko hilo wamepokea na kuunga mkono uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, wakieleza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda amani na usalama wa nchi.
Magale...
WAFANYABIASHARA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA UJENZI WA MACHINGA COMPLEX
▪️Jiji kujenga sakafu kupunguza nguvu
▪️Mbunge Mavunde awachangia 10m kutunisha mfuko wa Soko
▪️Awataka Mgambo wa Jiji kuacha kutumia mabavu
▪️Aahidi kuwaunganisha na Taasisi za fedha kwa ajili ya mitaji
▪️DC...