Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni.
Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...