Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na utulivu.
Mratibu wa Umoja wa Machifu wa mikoa ya Kusini, Chifu Sad Wabu (Mitondo wa Pili) ameyasema hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.