mabenki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mabenki na taasisi za fedha, badilisheni mfumo wa marejesho kutumwa kwenye akaunti zetu kupitia mitandao

    Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho. Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
  2. michibo

    JamiiForums Tanzania Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

    Habari za leo wakuu, Leo tujadili hizi tozo za mabenki [withdrawal charges] kwa wateja ambao kimsingi ndio wamiliki wa fedha hizo. Mteja anatunza pesa yake benki, na benki zinaifanyia biashara [kukopesha] kwa faida. Kisha mmiliki akihitaji kutoa kiasi chochote kwa matumizi yake hutozwa 'ada'...
Back
Top Bottom