Habarini,
Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au?
Ahsante
Habari.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa mabus ya masafa marefu kuelekea Mbeya.
Hapo awali nilikuwa naishi Moshi na Arusha . Kwa kweli usafir wa kutoka Kaskazin kwenda Mbeya ulikuwa wa tabu tupu, kulikuwa na gari za SUMRY ( Mbeya express), Hood na baadaye Arusha express lakin zote hazikuwa na ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.