maandamano madagascar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Wanajeshi waungana na Raia kupinga utawala uliopo madarakani nchini Madagascar

    Wanajeshi nchini Madagascar wamejiunga na raia katika maandamano makubwa kupinga utawala uliopo, hatua ambayo imeibua taharuki kubwa kutokana na nadra ya jeshi kushiriki moja kwa moja kwenye maandamano ya kiraia. Waandamanaji wamejitokeza kwa wingi wakilalamikia kupanda kwa gharama za maisha...
  2. R

    Rais Rajoelina avunja Serikali yake Kufuatia Maandamano Makubwa ya Vijana Madagascar

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amevunja serikali yake Septemba 29, 2025 kufuatia kuongezeka kwa maandamano yanayoongozwa na vijana dhidi ya uhaba mkubwa wa maji na umeme. Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa mgogoro huo umesababisha vifo vya watu 22 na zaidi ya 100 kujeruhiwa, katika kile...
  3. The Supreme Conqueror

    Maandamano ya Gen Z nchini Madagascar yanaendelea siku ya tatu leo

    Wakuu ni siku ya tatu leo Madagascar hali si shwari kabisa,kumbuka jana Waziri wa nishati alishaliwa kichwa kunusuru malalamiko ya Wandaamanaji lakini bado haijasaidia kitu. Soma pia >> Gen Z Madagascar waandamana dhidi ya kukatika kwa umeme na ukosefu wa maji Naona kuna muamko mkubwa kwa...
Back
Top Bottom