Waandamanaji nchini Madagascar wamekataa kushiriki mazungumzo yaliyotangazwa na Rais Andry Rajoelina Oktoba 8, 2025, wakimtuhumu kiongozi huyo na serikali yake kwa vitendo vya ukandamizaji.
Rais Rajoelina alikuwa ametoa wito wa kufanyika kwa “mazungumzo ya kitaifa” akiwashirikisha viongozi wa...
Waandamanaji walirusha mawe kwa maafisa wa polisi wakati wa maandamano dhidi ya kukatika mara kwa mara kwa maji na umeme mjini Antananarivo mnamo Septemba 25, 2025.
Jeshi la polisi lilitumia mabomu ya machozi, risasi za mpira, huku nyumba za wanasiasa wawili zililengwa: hali ya mvutano ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.