Wakuu,
Yaani kila mtakachofanya bado wananchi wananchi wanashinda. Ushahidi unazidi kukaa vizuri kule ICC, bwana Girisho Gerson Msigwa unazidi kuvuliwa nguo, guys ndio kabisa anaandaa skripti ya kuja kutoa kesho lakini anashindwa.
Video ni AI, Watanzania hawajaandamana, wanampenda sana Samuya...
Wakuu,
Hivi machozi ya uoga yakiwa yanatoka ndio yanakuwa yanatetema eeeeh? Eti mtaalam wa machozi Lucas Mwashambwa, Dr. Mwigulu Nchemba?🌚🌚
Rais Samia haamini kile anachokiona, yaani wananchi hawa hawa masikini, malofa, wanyonge leo ndio wanamtetemesha hivi? WHO ARE THEY? Yaani WHO ARE THEM...
Wakuu,
Hii wiki na zaidi ilikuwa muda wa vyombo vya dola kuandamana, yaani wajuba wametoka barabarani hadi na vifaru😂😂 kama wapo vitani vile kumbe ni kutisha wananchi wasitoke kesho!
Safari hii hawajafanya zile troti za kuoasha misuli, wameona hazifanyi kazi! Wakati huu wameweka hadi kambi...
Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza.
1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa
2. Waliotekwa na kupotezwa hawajarudishwa
3. Miili ya wenzetu waliouawa tarehe 29 Octoba bado kitendawili.
4. Hali ya...
GENEVA - Disemba 05, 2025
Serikali ya Tanzania imehimizwa kudumisha uhuru wa kimsingi kabla ya maandamano yaliyopangwa ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Disemba.
Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amezikumbusha mamlaka juu ya wajibu wao wa kulinda haki za uhuru wa...
Baadhi ya wanawake wameomba waomba maandamano ya Disemba 9 yasitishwe wakiohofia madhara yanayoweza kutokea. Wakilinganisha na yale yaliyotokea October 29 na baada ya hapo.
Wananchi hao wameeleza kuwa wanahofia biashara zao kusitishwa na hivyo kuwafanya kukosa chakula na mahitaji yao ya kila siku.
Wakuu,
Yaani kila kiongozi na chawa wao wakitoka utasikia "Wanataka kufanya vurugu", "Sio maandamano ni vurugu", "Wanahamasisha vurugu"..... yaani neno vurugu ndio linapigiwa promo!
Unaenda kukamata mtu eti anahamasisha vurugu Disemba 9, hapo mtu kasema nitashiriki maandamano au kuwaambia...
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu.
"Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
Daa Tanzania will never be the same again.
Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto.
Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi...
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania) baada ya kutangaza kuundwa kwa kamati hiyo siku chache zilizopita. Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.