Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kumasaidia kulekebisha Nyumba yake ili kuondoka na mateso anayoyapitia kwa sasa.
Baada ya ombi...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.