maadili ya mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kimbesa11

    Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

    CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine. Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA? Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata...
  2. Tauceti Rigel

    Mambo madogo madogo yanayoonesha mtu ni wa kuaminika – lakini wengi hatuyapi umuhimu

    — Utafiti wa Kifalsafa Juu ya Ishara Ndogo Zinazobeba Uaminifu Mkubwa Katika maisha ya kila siku ya Mtanzania wa kawaida—anayeamka alfajiri kuwahi daladala, anayepambana na ugumu wa maisha bila kulalamika, anayejifunza kusamehe bila kupewa pole—kuna jambo moja ambalo bado linabaki kuwa fumbo...
  3. Rorscharch

    Wanaume tumeharibika. Wanawake na watoto wanaporomoka kwa sababu hatuwajibiki. Tuamke na tufanye mabadiliko sasa!

    Wanawake wenu na watoto wenu wanaharibika, si kwa sababu yao pekee, bali kwa sababu nyinyi ni watu wa hovyo! Mmesahau majukumu yenu kama viongozi wa familia na jamii, mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka huku mkijifanya hamuoni! Mmegeuka wanaume wa mzaha—watu wa starehe, watu wa mizinga...
  4. Cute Wife

    Septemba 1973 yalifanyika maandamano makubwa kupinga wanaovaa Vimini. CCM walianza zamani kupoteza muda kwenye mambo ya ajabu

    Wakuu, Yaani kutoka TANU mpaka kufikia CCM bado wameendeleza kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana na kuacha vitu ambayo vinadidimiza taifa kwenye maendeleo ya sekta mbalimbali. Yaani watu na akili zao walitoka barabarani kupinga vimini, wavaa vikaushi sijui na zile suruali skini za...
Back
Top Bottom