luhaga joelson mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Luhaga Mpina achukizwa na ununuzi wa magari kwa wagombea urais 2025, ahoji fedha zimetoka wapi?

    Kada wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho ametoa ya moyoni akihoji namna ambavyo fedha za kununulia magari ya wagombea urais zilivyopatikana akibainisha kuwa kila gari ina thamani ya Tsh. 500 Milioni. Luhaga ambaye pia aligoma kupewa gari hilo...
  2. GE2025 Zitto: Tutampigania Mpina hadi atakaporejeshwa, tunaamini Mahakama itatenda haki

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha Act Wazalendo Zitto Kabwe, amesisitiza kuwa chama hicho kimejipanga kikamilifu kupambana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao, kwa lengo la kuhakikisha demokrasia ya kweli inatamalaki nchini. Zitto ameyaeleza hayo Septemba 29, 2025 akiwa Same Mashariki...
  3. GE2025 Monalisa Ndala: Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli

    Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli." Soma > Mpina na T-Shirt yenye picha ya...
  4. GE2025 Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais

    Tume imekubali pingamizi lililowasilishwa na Ndugu Hamza Saidi Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya uteuzi wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Hivyo, jina la Ndugu Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha...
  5. GE2025 Mapingamizi ya INEC kesi ya Mpina yatupwa, kesi ya msingi kusikilizwa Septemba 8

    Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
  6. GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
  7. GE2025 Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

    Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho. Luhaga Mpina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Othman Masoud anayewania urais...
  8. GE2025 Luhaga Mpina kavaa kama muslim!

    sijaelewa, kuna ulazima gani kwake (Luhaga Joelson Mpina) kuvaa kama muslim? war on Christianity is real ...
  9. Tetesi: Luhaga Mpina kupewa nafasi iliyoachwa na Lissu kwenye kamati Kuu ya CHADEMA

    Wakuu hamjamboni nyote... Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo hasi. Kwa namna na minajili hiyo na kwa mfumo wa CCM ni wazi hataweza kukubalika kuendelea na...
  10. Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  11. S

    Soma: Taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge tuhuma dhidi ya Luhaga Joelson Mpina kudharau mamlaka ya Spika, Bunge

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA YA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE KUHUSU:- 1. MAONI YA KAMATI KUHUSU USHAHIDI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUTHIBITISHA TUHUMA DHIDI YA WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI NA...
  12. Dkt. Muchunguzi alimuelewa Mpina?

    Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati. Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi...
  13. PreGE2025 Waraka wa Mbunge Luhaga Mpina kwa Watanzania: Tumeonewa kiasi cha kutosha sasa tunataka Mapinduzi ili tusionewe tena

    SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX ZANZIBAR TAREHE 12 JANUARI 2024 1. UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Asanteni sana kwa nafasi...
  14. B

    Mchango wa Luhaga Mpina (MB) jimbo la Kisesa (CCM) - kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2022/2023

    MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango amewasilisha Muswada wa Sheria...
  15. Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina aomba barabara za Jimbo lake zipandishwe hadhi

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amehoji bungeni kuwa ni lini Serikali itaipandisha hadhi barabara ya kutoka Bariadi – Mwaukoli - Mwandu Itinje – Itinje – Kabondo -Mwabuzo hadi Igunga kuwa ya Mkoa baada ya TARURA kushindwa kuihudumia kutokana na ufinyu wa bajeti. Akiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…