lugumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumba la kifahari, inadaiwa la Lugumi, ukipewa kuishi bure, unaweza shindwa, kumudu bili ya umeme na maji

    Sina hakika ni skendo tu nasikia ni ya LUGUMI. Kwa ukubwa inaonekana vigogo hewa wa humu jf tunaweza SHINDWA KUMUDU billi ya maji na luku, maisha haya
  3. JamiiForums Tanzania Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi, Kumbe Story ya Kuoa Binti wa IGP Saidi Mwema ni Uzushi wa Uongo! . JF Tuacheni Uongo na Uzushi!, Unatuharibia!

    Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo nimekutana Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi ambaye pia ni mmoja wa waombolezaji...
  4. JamiiForums Tanzania Dk Shika hivi alitumwaga kuharibu mnada kwenye nyumba za Said Lugumi?

    Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo. CCM itakupendeza zaidi
  5. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

    Salaam Wakuu, Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi. Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni. Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
  6. JamiiForums Tanzania Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,Ernest Mangu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani,Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira, wameripotiwa kutupiana mpira kuhusu kuhusu ni nini kimesababisha kutokuwasilishwa kwa mkataba huo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali siku ya jana. Mangu anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…