lucy shayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Lucy Shayo (Binti Lissu) amekamatwa na Polisi (kwa mara nyingine)

    Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga. "Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana na Polisi, muda wa saa tisa na nusu jioni Mkoani Tanga yupo Police central Tanga mjini". Hii...
  2. Je, Lucy Shayo kakaa Lupango wiki nzima kwa tuhuma za kutumia laini isiyo yake?

    Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu: 1. Mawaziri wengi wakitaka...
  3. GE2025 BAWACHA Pwani yalaani Kunyimwa Dhamana kwa Lucy Shayo na Polisi Morogoro

    Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Pwani limelaani hatua ya Polisi Mkoa wa Morogoro kumshikilia mwanachama wake, Lucy Shayo, kwa zaidi ya siku tatu bila dhamana, wakidai kitendo hicho ni kinyume cha sheria na haki za binadamu. Kwa mujibu wa taarifa ya Septemba 13, 2025...
  4. Polisi Morogoro wanacheza na dhamana ya Lucy Shayo aliyekamatwa akiwa njiani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu

    Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi. Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo. Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi...
  5. GE2025 Mkurugenzi wa sheria CHADEMA: Jeshi La Polisi wamezuia dhamana ya Lucy Shayo

    Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu: "Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…