Aliyekuwa Mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Fred Lowassa, amesema kazi kubwa iliyo mbele kwa sasa ni kuhakikisha chama hicho kinapata kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Lowassa ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa Septemba 12, 2025, wakati akishiriki kampeni za CCM, akiahidi...