PROFESA Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii, ameendelea kutoa kauli zinazoidhalilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jeuri hiyo anaitoa wapi? Maghembe, kwa mfano, ametoa kauli dhidi ya raia wa Tanzania wanaoishi katika vijiji vilivyopo tarafa za Loliondo na Sale katika...