lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
  3. JamiiForums Tanzania Eti Leo CCM wanaihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti

    Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti? Wanahofu na nini? Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto na wenzake walianzisha 'Mtandao wa Ushindi' ndani ya CHADEMA, Lissu anafuata utaratibu

    Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3. Similarities ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo tutamfuata huko huko

    Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana...
  7. JamiiForums Tanzania Chadema wemebaki na machaguo mawili tu, Kumpa Uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao

    Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Mbowe atashinda kwa kishindo? Angalia namna kanda zilivyojipanga, na Mbowe ana nguvu wapi dhidi ya Lissu

    Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini? Huko wala haina haja ya kuuliza, kitapita kimbunga ambacho dunia haijawahi ona. Kanda ya ziwa? Wenje...
  9. JamiiForums Tanzania Power breakfast live wamuhoji Tundu lissu

    Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  11. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM wanamwogopa Lissu kwa kiwango hiki?

    Kutokana na Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama Taifa, CCM wamejawa na hofu kuu. Hofu yao ni kwamba, Je, Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hali ya kisiasa Nchini itakuwaje? Wanamwogopa Lissu kutokana na misimamo yake kwamba hawezi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Lissu kaangukia pua, ahame chama au aunde chama?

    Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali). Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika kushindwa, bali kushinda. He's such a people who believes they are always right. Sasa ikitokea...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu anaweza kuivusha nchi lakini hawezi kukivusha chama chake!

    Haya maajabu au dharau kwa watanzania? Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania. Tutafakari! Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

    Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watekaji wanataka wanimalize wamsingizie Mbowe

    Enyi watu wabaya mjulikanao kama 'watu wasiojulikana,' nimezisikia njama zenu. Mnataka kuniumiza halafu mumsingizie Mwenyekiti wetu wa chama, Freeman Mbowe. Ndivyo mlivyofanya wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe. Ndivyo mlivyofanya tena wakati mliponishambulia tarehe 7 Sept '17. Na ndivyo...
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: John Heche chukua fomu ya kungombea wenyekiti Taifa (CHADEMA) Lissu na Mbowe wote wapigwe chini

    Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kutoa tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA, Mnyika asema “Yeyote mwenye tuhuma aziwasilishe zishughulikiwe”

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024. Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za uwepo wa mazingira ya Rushwa na kukosekana kwa Uadilifu, amesema: “Kuhusu tuhuma ambazo Makamu...
  20. JamiiForums Tanzania Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua. Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama chake cha chadema, wengi waliohudhuria mkutano huo, pasipo Tundu Lissu kujua, walikuwa ni wana ccm...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…