Nchi hii inashangaza sana.
Kuna double standard ya hali ya juu mno. Aliyesema atakinukisha hakuchukua round akawekwa nyuma ya nondo, saivi anapambana asinyongwe hadi kufa.
Lakini aliyesema atakata watu vichwa yupo mtaani tu anajidai na kunywa alkasusu bila shida.
Lakini tutashinda. Safari hii...
Nimeshitushwa sana na habari hii,, mtu wa ndani akinieleza kwamba kulikuwa tayari na mpango wa kumtafutia Lissu kosa la kesi ya uhaini, kabla hata hajayatamka maneno ambayo ndio wamemfungulia mashataka.
Anasema, "suala hili lilipangwa baada ya mkakati wa kumsaidia Mbowe kushinda tena uenyekiti...
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe.
Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako.
Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao.
Lakini jambo...
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri.
Pia, Soma: Sheikh...
Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake.
Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye...
Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu".
Maneno hayo yanasababisha wananchi...
Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa.
Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia.
Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon.
ongezea hii kwenye stori yako
JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI
Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na ulemavu aliosababishiwa, mliowatuma askari kumburuta TUNDU Lissu mtetezi wa Haki za wananchi mnalenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.