lissu afikishwa mahakamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Nov 12: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

    Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena mahakamani leo Oktoba 9, 2025, Mawakili wa Jamhuri kumuhoji shahidi namba moja wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
  3. Waufukweni

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani kuendelea na kesi ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo kesi yake ya uhaini inayomkabili itaanza usikilizwaji kamili wa kesi hiyo. Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  4. Waufukweni

    GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena Mahakama Kuu leo Septemba 9, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa tena leo katika Mahakama Kuu, kwa ajili ya usikilizwaji wa mapingamizi katika kesi ya uhaini inayomkabili. Leo Septemba 9, 2025 ni mara ya pili kwa kiongozi huyo wa CHADEMA kufikishwa mahakamani hapo, baada ya...
  5. Carlos The Jackal

    Tetesi: Intelijensia ya Dola, inawatumia Yanga kujifanya wanasusia Derby , ili baada ya Kumwachia LISSU , Yanga ijifanye kusema Itacheza Derby!

    Hao ndo watu walokabidhiwa mamlaka kuhakikisha Usalama wa Uchumi, Kisiasa, Kijamii na kiulinzi kwa Taifa la Tanzania. Ila maajabu wanawaza maigizo ya kijinga Jinga , wanaotumia Yanga ijifanye Haichezi Derby wakijua watanzania wanapenda Mpira. Siku wakimuachia LISSU, Yanga ijifanye kusema...
  6. Action and Reaction

    Kesi ya Lissu ilo kimkakati ili muda uzidi kupotea na uchaguzi uzidi kukaribia!

    1) Siku Lissu anashinda kesi uchaguzi utakuwa umeshakaribia, hizo ni janja Janja za kijinga! 2) Pressure kutoka Bunge la ulaya kujadili swala la Lissu limewapa kiwewe Serikali, hivyo wameanza kuachia 3) Kilichokuwa kinafanyika huko mahakamani na vitamko vya viongozi wa CCM, mawaziri, Judge ni...
  7. N

    PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

    Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake. Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania ============= “Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi...
  9. Mung Chris

    Je, Mbowe kumtembelea Lissu magereza kuna tafsiri gani?

    Wana Jamnvi Ni miezi kadhaa sasa bila ya Mbowe kuonekana kwenye vikao vyovyote vile vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, pia Lissu alipo fikishwa Mahakamani hajaonekana ila siku ya leo aliongozana na wastaafu wengine wa chama kwenda kumuona private huko Magereza tukizingatia siku maalum ya...
  10. Ritz

    PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

    Wanaukumbi. Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee.. Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya...
  11. Erythrocyte

    Wananchi wahoji kulikoni awamu ya 3, ya 4 na ya 5 hakukuwa na kesi za Uhaini, Kulikoni awamu ya 6?

    Wananchi wengi wanahoji sasa kwamba ilikuwaje katika awamu ya 3, ya 4 na ya 5, ambazo zote hizi zilikuwa na Vyama vya Upinzani hakukuwahi kuwa na kesi za Uhaini? Why Awamu ya 6 itengeneze kesi ya Ugaidi ya Mbowe na sasa imetengeneza hii ya Uhaini ya Tundu Lissu? Uchunguzi wetu umebaini...
  12. Roving Journalist

    PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

    Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi. Soma Pia: Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi...
Back
Top Bottom