Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy).
Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa kifedha, kuna haja ya kufanya mapinduzi katika muundo wa sasa wa malipo.
1. Kuanzishwa kwa Namba Moja ya...