ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zipewe heshima kubwa kwenye ligi, mgao mkubwa

    Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe. TFF...
  2. JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inahitaji Mtendaji Mkuu Kijana, Almasi Kasongo hana jipya

    Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu. We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia...
  5. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi wataishusha ligi kama wakijichanganya watafanya hivi

    Nampenda sana Fei Toto kwakuwa ni mzawa na mtanzania mwenzetu, lakini ni kweli kwamba Aziz Ki ni bora sana kuliko Fei Toto tena kwa mbali sana, lakini na Diara ni bora sana kuliko Matapi. Mfano, hebu waweke sokoni Aziz Ki na Fei Toto wewe utamchukua yupi kati ya hao wiwili. Na ukiwaweka sokoni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  7. JamiiForums Tanzania Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.

    Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa. Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
  8. JamiiForums Tanzania Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

    VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA ▲Kouassi Yao - (Yanga SC) ▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC) ▲Mohammed Hussein - (Simba SC) 4: KIUNGO...
  9. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za Wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu ya NBC

    Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lameck Lawi Anukia Ligi Kuu Ubelgiji K.A.A Gent

    LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo...
  12. JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

    Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu. Pacome...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi ya Egypt ni ligi ya ovyo na ya kihuni sana pamoja na CAF

    Wakuu Ligi ya Egypt inasifika kuwa namba moja Africa lakini kwa upuuzi wao na uhuni kila mwaka wanaofanya, Kwanini isiitwe ya kihuni na kisela? Si afadhali hata ya huku Bongo wajameni? Hebu tuone Zamalek waligoma kucheza Derby yao na ahly ahly mpaka pale ahly ahly watakapomaliza viporo vyao...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  15. JamiiForums Tanzania Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kupenda timu 2 ligi moja

    Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja
  17. JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye mfungaji wa muda wote wa ligi kuu Tanzania bara

    Jamaa hawezi itwa striker hatari ila amemake historia kubwa. Magoli 155.
  18. JamiiForums Tanzania Je, tutarajie Canal+ Kuanza Kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza hivi karibuni?

    Je, wataanza kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza na au Ulaya hata kwenye nchi za Commonwealth? Kwa mujibu wa Mtandao wa Mtandao wa SP ni kwamba Mmiliki wa SuperSport, Multichoice, amekubali ombi la ununuzi la Canal+ ununuzi wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.9. na kwamba Kampuni hiyo kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naangalia tuzo za Ligi Zanzibar (FARAFA) wameweka taarabu

    Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hii takwimu iliyotolewa na bodi ya ligi kupitia admin wao wa mtandao wa X

    Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…