Yanga kama kawaida imeendeleza makali na kubaki kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons ya Mbeya Goli 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo Machi 12, 2026, hivyo kufikisha pointi 35 katika mechi 13.
============
Wakali, vinara, mabingwa wa kihistoria na...
Matokeo:
Singida Big Stars
Goli: Mossi Ndumumwe 38
Simba SC
Goli: Anicet Oura 07
Goli: Elie Mpanzu 85
📍 Uwanja wa Airtel, Singida
Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025
Mechi ipo live
Salama zinatumwa
Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania
Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba.
Soma > Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025
Tarehe rasmi ya hafla hiyo, ambayo...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB) na Kampuni ya JUSTFIT, leo Septemba 22, 2025 wamezindua rasmi mpira maalumu utakaotumika katika michezo yote ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026.
Mpira huo, ambao umebuniwa na msanii na mbunifu maarufu Masoud Kipanya...
Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025.
Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons, Mkwakwani Tanga.
Manguli wa soka la Bongo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa kwanza...
Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku kila timu ikisaka pointi muhimu kuanzia hatua za mwanzo za ligi hiyo maarufu nchini Tanzania.
Sasa...
Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.