Singida Black Stars imevunja rekodi ya Namungo FC na Mbeya City katika Ligi Kuu ya NBC kwa kuwa timu iliyofunga idadi kubwa zaidi ya mabao dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex leo Ijumaa, Novemba 21, 2026.
Ushindi wa mabao 4-2 wa Singida Black Stars ilioupata uwanjani hapo umeifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.