Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amemtuhumu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa anatumika kuleta mgawanyiko ndani ya chama hicho, akipinga madai yanayotolewa dhidi yake kuwa yeye ni mradi wa kukigawa chama.
Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa...