laptop

  1. JamiiForums Tanzania Wapi wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar?

    Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
  2. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop hp for sale

    hp laptop for sale Bei 180,000 Contact: 0712518770 dsm Haina shida yoyote isipokuwa betri haikai na charge
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop HP Elitebook or Spectre

    Habari wakuu. Kama mada inavosema. Nipo interested na hizi models; HP ELITEBOOK 840 G2 (Touchscreen) HP ELITEBOOK 840 G3 (Touch Screen) HP ELITEBOOK 1030 G3 (Touchscreen) Hp Spectre X360 Kama unayo moja kati ya hizo models tuambizane kwenye huu uzi
  4. JamiiForums Tanzania Lenovo laptop for sale (gaming laptop)

    Model: LENOVO IDEA PAD Z585 Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached) Harddisk: 500Gb Ram: 4Gb Screen size: 15.6inch Dvd slot: Available Battery: 5hrs Display 15'' Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED PRICE : Tsh 550,000 Negotiable Call or Text 0713 985936
  5. JamiiForums Tanzania manunuzi ya laptop online

    wakuu nimejaribu ku search lakini sijaona uzi unaozungumzia hii issue ya kununua laptops na sim online. nataka kununua laptop moja lenovo x270, soko la bongo hapa kariakoo nilziona duka moja pale mtaa wa kongo ilikua inauzwa 370k lakini sikua na pesa. sasa nikiicheki ebay, minimum price ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…