Nauza digital camera aina ya Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal .Hii camera imetumika sio mpya ina alama za michuniko kwenye body angalia picha kwa ufafanuzi zaidi lakini haina tatizo lolote inafanya kazi. Bei 3 million .3,000,000 TZS. ipo Zanzibar...