kuzuia uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  2. Genius Man

    Gen z walifanikiwa 100% kuzuia uchaguzi wa October 29 shughuli zote zilisimama kilicho fanyika watu wakajitangaza bila uchaguzi kuwa wameshinda

    Gen z walifanikiwa 100% kuzuia uchaguzi wa October 29 shughuli zote zilisimama kilicho fanyika watu wakajitangaza bila uchaguzi kuwa wameshinda Utakapo angalia mazingira yalivyokuwa katika October 29 hakuna uchaguzi uliofanyika pia kuzimwa kwa mitandao na shughuli za kijamii zilisimama...
  3. M

    Kama tulivoweza kuzuia uchaguzi, basi natoa wazo fikirishi kufanikisha Jambo zito tarehe 9 Dec

    Tarehe 9 December maandamano yafanyike nchi nzima kama yalivyo pangwa na idadi ya watu iwe kubwa sana kwenye maeneo tutakayosema baadaye. Mimi binafsi ninahitaji watu kati ya 1000-2000 wanaoweza kujitoa muhanga Dar es salaam na Dodoma. Kwa desturi ya nchi yetu huwa zinafanyika sherehe za...
  4. Genius Man

    GE2025 Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa

    Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa, Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko. Hakuna uchaguzi utakao fanyika
  5. McLaren

    GE2025 Shirika la TAFEYOKO: 64% ya wanawake na 36% ya wanaume waahidi kupiga kura, kisha kurejea nyumbani siku ya Uchaguzi

    Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
  6. R

    GE2025 Dkt. Marcus Alban: Kuzuia Uchaguzi ni Kosa Kubwa katika Taifa

    "Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza...
Back
Top Bottom