kuzima mtandoa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    TCRA mnapozima Mitandao huku mnachokizuia kikionekana hamuoni kama mnasumbua tu hao Masikini wenu?

    Wajanja wote wanatumia VPN, wanarekodi kila mnachokizuia na kukisambaza. Sasa huu uzuiaji mnaoufanya ni upi, maana kila kitu kiko hadharani, zaidi mnawazuia wauza maandazi na dagaa mchele wanaotumia Mkongo wa TTCL hamkomoi yeyote mwenye akili timamu na mnapoteza muda bure. Fanyeni mambo yenye...
  2. OLS

    Mwaka 2023, matukio 80 ya kuzuia internet yamerekodiwa katika nchi 21 duniani

    Katika muongo uliopita, serikali barani la Afrika zimeendelea kushika madaraka kwa nguvu kwa kudhibiti haki za binadamu mtandaoni na nje ya mtandao. Kwa kuongezeka kwa mahitaji ya uwajibikaji na utawala bora, watu katika nchi kadhaa wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii ambayo yamekuwa...
Back
Top Bottom