Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats.
Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano. Kambona, mara tu baada ya muungano kuundwa, alisema Wazanzibari hawataruhusiwa kuvunja muungano...