kuvunja katiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    She started it all, Hakuna hoja ya kuvunja katiba tena.

    Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena, Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi. Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
  2. Genius Man

    Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

    Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama. Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
  3. Genius Man

    GE2025 Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini

    Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini. Tutazamie nini baada ya kuonekana mgombea wa chama tawala ambaye ni raisi kushutumiwa kuvunja katiba za nchi na chama ili kugombea uraisi tena bila kuangalia alipo...
  4. Abraham Lincolnn

    Mpaka sasa Tume ya uchaguzi INEC haijatoa tamko wala kuchukua hatua dhidi ya CCM licha ya kuvunja katiba

    Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza...
  6. Lord Denning

    PreGE2025 Mfanyie mtu vyote sio kumzuia Kusali Kwa anayofanyiwa Lissu, ni zaidi ya kuvunja Katiba

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada. Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba. Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
  7. Webabu

    Nakumbuka siku Mbowe alipotaka kulitumia kanisa kutaka kuvunja katiba na akashindwa.Sijui itakuwaje kwa Lisu baada kanisa kurudi tena.

    Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani. Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
  8. K

    Tujiepushe na uvunjifu wa katiba ya CCM na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kabla ya kutunga kanuni ndani ya ssem lazima kukaa na kufikiri tujiepushe na uvunjifu wa katiba ya CCM na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tukilazimisha kwa maslahi binafsi kupitisha kanuni, lazima tujue kuwa kinachotakiwa kufuatwa ni: Katiba ya SSEM Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
  9. JanguKamaJangu

    Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  10. M

    Wanavunja katiba yao, watashindwaje kuvunja katiba ya Nchi?

    Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi? Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha...
  11. Genius Man

    PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Musiba: CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe, watashindwa vipi kuvunja Katiba?

    Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Hayati Magufuli kuvunja Katiba haihalalishi uonevu wa 'kupapaswa' unaofanywa na Rais Samia. Hatufanyii hisani ni haki yetu

    Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni, oooh this ...oooh that, upuuzi mtupu! Magufuli kuminya Katiba haimpi ruhusa Rais Samia kujifanyia...
Back
Top Bottom