Macho yalikuwa yananivuta sana na wakati mwingine kichwa kinauma.
Nilienda kupima, daktari akaniambia yamepoteza uwezo wa kuhimili mwanga mkali kama TV, simu, PC na jua. Nimeanza kutumia miwani ya kujikinga na mwanga.
Dua zenu 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.