kutunza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kutunza bulldog germanshepherd na Bullmastiff.

    Majukumu: kufanya usafi mara mbili kwa siku,kuwapa chakula,kufwatilia kwa ukaribu magonjwa ya ngozi,kuwazibiti wasitoke nje ya eneo la uzalishaji,kuwatenga kwa makundi kitokana na aina na umri na mahitaji maalum,kusimamia delivery kwa wateja. Sifa za jumla: Awe na uzoefu wa kufuga mbwa na kujua...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kutunza afya yako muda wote, haijalishi una umri gani

    Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha. Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
  3. JamiiForums Tanzania Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

    Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu. Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya...
  4. JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…