Wanaukumbi
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa ndani ya siku 50.
"Tunataka kuhakikisha Ukraine inaweza kufanya...
Wakuu,
Mara baada ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali bungeni mwaka wa fedha 2025/26 kumekuwa na maoni ya wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings) ambapo wataalamu wa masuala ya uchumi wanaonesha kuwa na wasisi dhidi ya pendekezo...
Wakuu
Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)
Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu ya juhudi zake kuimarisha biashara ya ndani na kukabiliana na kile alichokiita “kufa kwa kasi” kwa...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumapili alitangaza kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa nje ya nchi hiyo, akisema tasnia ya filamu ya Marekani inakufa kwa "kifo cha haraka sana"
Credit: reuters.com
===
U.S. President Donald Trump on Sunday announced a 100% tariff...
Kufuatia kuondolewa ushuru kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 9 za Afrika mwezi Septemba, kuanzia tarehe mosi, Disemba, China haitatoza ushuru wa asilimia 98 za bidhaa za nchi nyingine 9 za Afrika zikiwemo Tanzania na Uganda.
Kurahisisha biashara ni njia muhimu ya kuzisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.