kutotolesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama huna pesa ya kununua incubator kubwa, kwa nini usijifunze kutengeneza yako mwenyewe?

    Siku moja, nilimwambia rafiki yangu ambaye ni mfugaji, “Kama huna pesa ya kununua incubator kubwa, kwa nini usijifunze kutengeneza yako mwenyewe?” Aliniukuza “Unamaanisha nitengeneze mashine inayoweza kutotolesha mayai kwa mikono yangu mwenyewe?” Nilimwambia Ndiyo. Lakini Kwa kutumia vifaa...
  2. JamiiForums Tanzania Vifaa 3 muhimu kwenye utengenezaji wa incubator ya kutotolesha mayai

    UTENGENEZAJI WA INCUBATOR YA KUTOTOLESHA MAYAI Unapotengeneza homemade incubator, siyo tu kuweka bulb ya joto ndani ya boksi na kutegemea mayai yatotolewe. Mfumo wa kudhibiti joto na unyevu una nafasi kubwa kwenye matokeo ya utotoleshaji. Kuna vifaa vitatu ambavyo vinaweza kufanya mfumo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukitaka incubator yenye matokeo thabiti – humidity na temperature lazima ziwe balance (kifaa - XK•W1099)

    Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote. Wakuu habari za majukumu, Kwanza nianze na maelezo mafupi kuhusu incubator – ni kifaa kinachotumika kutotolesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…