kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

    Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
  3. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe historia ya TANU kwa picha na maelezo ya nyakati kutoka Maktaba ya Ali Msham

    PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1 Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua Marehemu Baba Yake Ali Msham...
  4. JamiiForums Tanzania Uhutubiaji wa Rais Samia ni kutoka kufokewa hadi kushawishiwa

    Ukweli Ni kwamba Sasa tunapata vionjo tofauti kabisa katika hotuba za Samia. Kwa kweli sionglei kabisa maudhui ya liyomo kwa hotuba za Samia, kwa leo naongelea tu Uhutubiaji wa Samia, kuwa anahutubia kiungwana Sana, kwa lugha ya kushawishi zaidi yenye maneno yenye staha,Radha nzuri ya...
  5. JamiiForums Tanzania Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

    Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo. Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

    Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina. Ni Kwamba katika muda niliokaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…