Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba HAKUNA wa KUNIFANYA lolote.
Ni System ya Kipumbavu pekee duniani ndiyo itanyamaza pale hali ya Usalama...
Ama kwa hakika hakuna kulipo salama!
Kasikika Mwabukusi:
1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari.
Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM.
Kuna watu ni wasomi lakini matendo yao ni kama hawajasoma kabisa. (Kabudi style)
Kuna watu wanasajili Kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.