kuteka watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Kidiplomasia imekaaje, eti unaenda nchi nyingine kuteka watu, hii ni kama STATE OF WAR....unatangaza vita

    Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa. Nimekua najiuliza hii kidiplomasia imekaaje? Je sio ni kama kitendo Cha uvamizi kwenye nchi husika...
  2. R

    Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  3. Mkalukungone Mwamba

    Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga: Kijana usishiriki dhambi za mauaji wala kuteka watu

    "Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu. Sasa ifike mwisho

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
  5. R

    Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  6. The Father of All

    Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  7. H

    Gwajima: Hakuna Sababu ya Kuteka Watu

    Askofu Gwajima, mbunge wa CCM, na kiongozi wa Kanisa la Uzima na ufufuo amesema kuwa nchi haina haki, maisha ya mwanadamu hayathaminiwa. Akasema hakuna sababu ya kuteka watu. Akauliza ni kwa nini maisha ya mtanzania hayathaminiwi? Ameendelea kusema kuwa mitungi yote ya gas tunayoiona, hakuna...
  8. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  9. J

    Nashauri Mawaziri, RC DC na DED wapelekwe Semina Elekezi kama enzi za JK. Fikiria wakati tunazungumzia Utekaji DC anadai Kuna Kitu alifanya Maporini!

    Chonde Chonde Waziri mkuu ni vema hawa Viongozi kuanzia Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakafanyiwa Semina Elekezi Hii itasaidia kuondoa kutolewa kauli kinzani na vioywetu pia hali ya Ukambale Ndani ya Serikali na hata Chama itaisha Mlale Unono 😃 Pia soma:Kuelekea...
Back
Top Bottom