Tangu Bunge jipya kuanza kumekuwa na vihoja na viroja kutoka bungeni nadhani hii ni kwa sababu wabunge wengi wapo pale kwa hisani ya mtu.
Wengine ndo hao viti maalum. Hawajui haso za kusaka kura mitaani.
Hawajui wakiwa bungeni ni kujipigia kampeni ili akija mtaani asitumie nguvu nyingi sana...