kutafsiri ndoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kibiblia za Kutafsiri Ndoto

    Ndoto ni lango la kiroho la mawasilinao ya Mwanadamu na Mungu au miungu. Ayub 34 Leo ningepeta tujifunz namna ya kutafsiri ndoto zinazo usiana na usafiri Mtumishi mmoja alionta ndoto yuko kwenye usafiri gari dogo aina ya noah na ndani ya gari yuko na watumishi wenzake na usafiri huo ukampeleka...
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA: Ndoto ya kujinyea mbele za watu ina tafsiri gani katika ulimwengu wa roho? Wataalamu wa kutafsiri ndoto naombeni msaada wenu

    Nina umri wa miaka 38 na katika utu uzima wangu huu sikumbuki kama nilishawai kuota ndoto mbaya na ya ajabu kama niliyoota usiku wa kuamika leo... Katika kumbukumbu zangu za ndoto nimeshawai kuota ndoto za kutisha,..nimeshawai kuota ndoto nafukuzwa,....nyingine napaa hewani(angani), nimeshawai...
  3. JamiiForums Tanzania Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

    Morng Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
  4. JamiiForums Tanzania Naamini hakuna mwingine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Rais Samia ya kuwagusa na kuwafikia Wananchi katika huduma za kijami

    Hongera sana Engineer Fatma Kara, Samia Foundation na Team ya Quality Builders kwa mwanzo mzuri sana. Naamini hakuna mwengine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan ya kuwagusa na kuwafikia Wananchi katika huduma za kijamii zenye Viwango vya Hali ya juu kama...
  5. JamiiForums Tanzania Usihangaike kutafuta maana ya ndoto, picha unazoziona tafsiri yake ni wewe

    Ushawahi kujiuliza kwanini umeota askari anakukamata na kukuweka kituo? Kuna wengine wanaota ndoto za majoka na wanyama wengine. Basi nikwambie tu,ndoto ni fahamu zako na ikiwa huzitambui fahamu zako basi ni ngumu kutafsiri ndoto,unapoenda kwa viongozi wa dini sometimes wanakosea. Lets say...
  6. JamiiForums Tanzania Anayeweza kuitafsiri hii ndoto anisaidie

    Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO. Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…