Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo januari 14, mwaka huu wa kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya{34} na wenzake sita kama ana kesi ya kujibu au laa .
Hayo yalisemwa na Hakimu Mkazi wa Mhakama...