Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote...