kurasini

Kurasini is an administrative ward in the Temeke District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 34,501. It is the location of the Port of Dar es Salaam, the fourth-largest port in Africa on the Indian Ocean.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana, Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
  2. JamiiForums Tanzania Daraja la Wami liitwe Samia na Flyover ya Kurasini iitwe Mwinyi

    Salaam Wakuu, Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma. Pia...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  4. JamiiForums Tanzania RC Makalla asema hakuna shule iliyouzwa Kurasini, aagiza CAG kufanya ukaguzi maalumu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi. RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hawatakiwi kutisha watu wanapowakamata

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa manufaa ya Taifa, Serikali izihamishie pengine zile taasisi za kidini Kurasini kupisha Bandari

    Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam. Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari? Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam na mpango wa eneo la Kurasini

    Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu! Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia wateja wapya toka sehemu mbalimbali, hasa majirani zetu wasiokuwa na bandari, kama DRC, Zambia...
  8. JamiiForums Tanzania Frame inahitajika - Kurasini

    Habari zenu wakuu, Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo. Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…