kupunguza unene

  1. Binti wa zamani

    Msaada: Mnaopenda kula mboga za majani, mlifanyaje, mbona mimi nateseka?

    Zingatia: Hii ni nyuzi serious, haihitaji utani wala dhihaka. Kama huna ushauri, endelea kuperuzi kwenye majukwaa mengine. Mwezi uliopita niliandika uzi wa kuomba ushauri na msaada wa kupunguza uzito. Nimefuata ushauri na kumpata mtaalamu wa lishe, amenitengenezea mpango wa chakula na inabidi...
  2. Replica

    Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

    Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine. Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si...
  3. elivina shambuni

    Hospitali ya Benjamin Mkapa kuanza rasmi upasuaji wa kupunguza unene

    BAADA ya kupata mafanikio ya majaribio ya kupunguza unene, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza rasmi kuanza kutoa huduma ya upasuaji wa kupunguza uzito kwa watu wenye unene uliopitiliza. Pia mwanzoni mwa mwezi ujao, wagonjwa sita watafanyiwa upasuaji wa kupandikiza figo kwenye hospitali...
Back
Top Bottom