kupisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakazi wa Kipunguni wafika ofisi za TAA kudai walipwe stahiki zao za kupisha upanuzi wa ‘Airport’

    Wananchi waliojitambulisha kuwa ni Wakazi wa eneo la Kipunguni, jana Novemba 24, 2026 walifika kwenye Ofisi za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Jijini Dar es Salaam wakidai kukamilishiwa malipo wanayodai yaliyotokana na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)...
  2. A

    KERO Wafanyabiashara wa Temeke Mwisho tumekaa kwenye eneo hili kwa miaka 15, leo tunaambiwa tuondoke kuna mgogoro

    Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza. Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
  3. A

    KERO Wakazi wa Kipunguni Hali ya Hewa (Banana) hatujamaliziwa kulipwa fidia ya kupisha Barabara

    Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara. Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi walipewa viwanja...
  4. ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  5. RESOLVED Wakazi wa Kijiji cha Maisha Plus wakubali kuhama kupisha kilimo cha Mkonge Wilayani Muheza

    Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  6. Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  7. K

    Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
  8. A

    KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  9. Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  10. Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  11. M

    Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  12. Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  13. Gari zimezuiwa kupisha msafara wa mgombea mwenza CCM, inasikitisha sana

    Kwa kweli inasikitisha sana, gari zimezuiwa ili kumpisha mgombea mweza apite, karibia lisaa sasa na gari la mgombea mweza halijapita na haturusiwi kuendelea na safari mpaka apite! Naona polisi wanasimamia kuhakikisha gari zinasimama kumpisha mgombea mwenza
  14. Ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi

    Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi. Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni...
  15. Nini kinaendelea CHADEMA? Charles Odero asimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kanda ya Kaskazini, Charles Odero amesimamishwa na chama hicho ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Taarifa ya kusimamishwa kwa Odero imetolewa jana, Julai 30, 2025 na katibu wa CHADEMA Kanda...
  16. Serikali ya Zanzibar Yashindwa Kulipa Fidia kwa Nyumba Zinazotakiwa Kupisha Barabara – Maendeleo Yakwama

    Ndugu wanajamvi, Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar. Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
  17. N

    Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

    Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale? Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi...
  18. Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  19. Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  20. Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

    Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi. Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora. Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…